Msanii wa filamu za kibongo Tiko Hassan.Akizungumza na Bongowood pasipo kuwataja majina, Tiko alisema tabia hiyo imekithiri.
“Wasibadili tu dini kwa kufuata pesa, kama umeamua kufanya hivyo basi uwe na mapenzi ya dhati kwa mhusika,” alisema Tiko.
Msanii wa filamu za kibongo Tiko Hassan.
.
0 comments:
Post a Comment