DIAMOND: HAKIKA WEMA ALISTAHILI


Mastaa  Wema Sepetu na Diamond Wakimechisha.
NASIBU Abdul ‘Diamond’ amefunguka kuwa anajivunia kuwa na binti mzuri Wema Sepetu ambaye kila kukicha anazidi kupewa vyeo.
Diamond alifunguka hayo juzikati baada ya Wema kutangazwa mshindi wa Shindano la Ijumaa Sexiest Girl lililoandaliwa na Gazeti la Ijumaa.“Wema ni kifaa, nilimkubali na nitaendelea kumkubali,” alisema Daimond juzikati Dar.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini