Mrembo Wema Sepetu Akiwa na Baby Wake
Diamond leo Asubuhi Uwanja wa Ndege wa JK , Diamond Anaelekea Nigeria
Kufanya Video yake mpya na Pia Kufanya Collabo Mpya na Wanaigeria pamoja
na Waghana...Diamond Ameambatana na Manager Wake Babu Tale....Have a
Nice Trip Brodaaa
0 comments:
Post a Comment