Diva wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameonekana kuchizika na busu
la mbwa baada ya kunaswa akiwa amewabeba mbwa wawili na kufurahia mmoja
wapo alipombusu.
Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Wema Sepetu, Kijitonyama,
jijini Dar. Alipoulizwa furaha aliyokuwa nayo baada ya kubusiwa na mbwa
huyo, Aunt alisema: “Haipimiki. Natamani na mimi kuwafuga wawe wananibusu kila siku.”
>>GPL
0 comments:
Post a Comment