Naomba niombe msaada kwenu wadau,nina
matatizo sijui niseme shida ambazo kiukweli zinanikosesha raha,nimekua
nikihangaika sana kutafuta dawa ya kumaliza harufu ya kikwapa,yaani ni
kwamba nimejaribu kila aina ya deodorant,na perfumes za kila aina lakini
harufu haiishi,itokee bahati mbaya nisahau kupata Deodorant jamani sio
siri najisikia hata mimi mwenyewe jinsi ninavyotoa harufu kali,zaidi ya
harufu makwapa yangu ni meusi,ajabu,niliambiwa deodorant za Forever
Living zinasaidia kumaliza weusi makwapani lakini wapi sioni
tofauti,nawaombeni mnisaidie jamani nakosa raha,kifupi harufu utadhani
lile jasho wanalonuka wanaume,wakati mwingine nafikia hata kujinyanyapaa
mwenyewe,kwa kutokwenda kwenye shuhuli,nahisi wenzangu wananisema,shida
inakuja muda wa kazi,kwani siwezi kukwepa kwenda ofisini,kiukweli it is
so embarrassing.
La pili,huohuo weusi,katikati ya mapaja nako hakufai,yaani nikipanua miguu utadhani nimesilibwa lami hapo kati,nimejaribu kutumia mikorogo,haikusaidia,cream zile za hospitali za ngozi,pia nimejaribu,angalau kidogo utaona natakata,tatizo lake baada ya muda yanatoka mapele kama vijipu nashindwa hata kutembea shauri ya friction,nilipata ushauri wa kuvaa skin tight ili kuepusha friction,lakini lile la weusi lipo palepale,wenzangu nawaomba,kama kuna mtu alishawahi pata matatizo kama yangu,naomba msaada tutani,jamani siyo siri,pamoja na kutaka nionekane maridadi,lakini pia wakati wa majambos si mwajua kuna muda wa mahabuba kwenda down,sasa inapofikia hapo,dah,najisikia aibu kwa maana naona kama vile najichoresha,na jamaa yangu huwa hakubali bila kunipagawisha kwa njia hiyo,sasa nipo na wakati mgumu
.
Huwa napendelea sana kusoma story kila wikiendi ila wamama/wadada saa nyingine mna maneno makali ambayo yanatukatisha tamaa kuomba ushauri humu,nawaombeni jamani,wengine hatuna pa kusemea wala wa kutupa ushauri wa kweli,tusaidiane jamani,Samahani kama nimewakwaza

0 comments:
Post a Comment