
Kama
kawaida sammisago.com na MrInfoTv Sammisago inahakikisha unapata habari
zote mpya kuhusu muziki na burudani, Hizi Picha za Lil Wayne, Tyga,
Nicki Minaj, Birdmen na wengine kwenye utengenezwaji wa video ya wimbo
mpya wa Young Money kutoka kwenye album yao mpya ya Rise Of The Empire, ” Tyga, Nicki Minaj & Lil Wayne – Senile” Ziko hapa.










0 comments:
Post a Comment