
Katika hali nisioitegemea tumegongana
ana kwa ana gest mi na shemeji yangu wa karibu ambae mme wake tunafanya
kazi pamoja. mimi nikiwa nampeleka mgeni wangu kwenye chumba alichofikia
mara ghafla chumba chumba cha pili mlango ulifungulia na kikatokea
kichwa tu kugeuka tukagongana ana kwa ana huyo shemeji yangu ilichukua
takriban sekunde 30 kukodoleana macho na baada kutoa salam sauti ya
chini mimi niliingia chumba cha mgen wangu kumuaga na kumtakia safari
njema wakati natoka huku mwili ukiwa umekufa gan kwa kutoamin
nilichokiona kwa shemeji yangu na kutambua alienipokea zamu ya lindo saa
12 jion mke wake ana madudu niliishiwa nguvu kabisa, alikuja mhudum wa
ile gest akaniitia chemba baadae akaja jamaa ambae sikuweza kumtambua
kutokana na mazingira na kunieleza kilichotokea muda mfupi uliopita
anaomba iwe niifanye kuwa siri kwanza ametokanae mbali isitoshe ni mzazi
mwenzie na akanikabidhi elfu 70 ambayo mi nilikataa kuipokea huku
nikimwambia kwasasa nahitaji kuwahi nyumbani mambo mengine tutawasiliana
kwa simu ili kukwepa ushaidi niliondoka lakin hatua chache baadae
ilipigwa simkuingalia ilikuwa ya shemeji yangu akinisihi lile suala
anaomba liwe siri kwa gharama yoyote ile na nimpe muda mfupi mtu wake
anafanya michakato ya hela soon nitapata kwa njia ya m-pesa. kubwa
kwangu jamaa tumetokanae mbali sana urafiki kwetu ni zaidi ya ndugu
tumesoma shule ya msingi moja tumeachana sec. tumeingia depo pamoja na
kupangiwa kituo kimoja yaani kama bahati tu hofu yangu ni kwamba asikie
hii isue najua alaf sikumpa taarifa atanionaje mimi? mpaka sasa natambua
kwamba ameoa na ana watoto wawili huyu jamaa ameniambia kwamba ni mzazi
mwenzie nashindwa kuelewa na proces zote za uchumba mi nilihusika na
sikuambia kama amezaa, katika nyakati tofauti nimeingiziwa kwa mpesa
zaidi mil. 1.2 kwa saa 17
nifanyeje?
0 comments:
Post a Comment