MWIGIZAJI Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa mpenzi aliyenaye sasa, amembana kisawasawa kiasi cha kushindwa kufurukuta.
Akizungumza na paparazi wetu huku akiomba hifadhi ya jina la mpenzi wake huyo, Lulu alisema:
“Safari hii nimekamatika kimapenzi, jamaa ni kiboko, simu mara nyingi zinavunjwa, nami nanunua mpya kwa ajili ya wivu.”
“Safari hii nimekamatika kimapenzi, jamaa ni kiboko, simu mara nyingi zinavunjwa, nami nanunua mpya kwa ajili ya wivu.”
0 comments:
Post a Comment