MAIMARTHA AUKARIBISHA UPOFU KUFUATIA KUTUMIA GUNDI KWA KUPACHIKIA KOPE BANDIA



MWANADADA mtangazaji na mjasiriamali, Maimartha Jesse anaonekana kuukaribisha upofu kufuatia kukithiri kutumia gundi katika kujipachika kope bandia.

Maimartha Jesse.
Kwa mujibu wa daktari wa Ijumaa, wanawake wanaobandika sana kope bandia wanajiweka kwenye hatari ya kupata upofu ambapo Mai ni miongoni mwao.
Katika tukio la hivi karibuni mwanadada huyo alionekana akiwa amejibandika gundi katika harakati ya kujibandika kope hizo na alipoulizwa na paparazi wetu kama haogopi madhara yake alisema:
“Huo ni urembo tu, nimebandika hivyo nikiwa katika maandalizi ya kubandika kope katika macho yangu, sidhani kama naweza kupata tatizo lolote.”

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini