OMMY DIPOMZ APONDWA NA MASHABIKI WAKE MARA BAADA YA KUPOST HII PICHA INSTANGRAM

dimpozz
Jana kupitia akaunti yake ya instagram Ommy Dimpoz aliweka picha hiyo hapo juu inayomwonyesha akiwa anafanyiwa make up. Ommy Dimpoz ambaye kwa sasa yupo Uingereza alikokua na show alishambuliwa na followers wake katika comment kwenye picha hiyo. Na haya chini ndo baadhi ya maoni waliyotoa watu kuhusu picha hiyo.
zayaminnah Yah its normal for an artist to apply thoz kinda thingz b4 video shooting n thingz lyk thoz.but i just ddnt lyk the idea of u sharing it…in normal lyf its boring..so pliz mm km ndugu yko naomba ufute.i just dont lyk the snap.inaninikera.Omari ifute.sorry 4 that.
erbum96 Ahhh nn kama unajisoma…ww n kidume mbna make up z nn…..wachie wenywe n kama unfanya bc liweke moyoni
ommy8 Toka lini mwanaume anajitambua akapaka make up mama tuachie wenyewe wanawake mwanaume make up wapi na wapi au me ushamba bado unanisumbua
petersimbila Jamani mtu anapomkosoa mtu sio kama anamchukia ila anammweka kwenye njia so aina maana nyie wangine mjitie veherehere kuongea maneno mtafikiri ommy ndungu yenu kumbe ni rafiki…bro dimpoz umeingia huku ili upate frnds kibao jua kila mmoja anamacho tofauti pokea linalokufaa fanyia kazi lisilofaa weka pembeni…big up kwako kazi nzuri ngoma za maana mmh jipange we ni kioo cha jamiii.@ommydimpoz
 
ommy8 Hahahhaaha me na ww cjui mshamba nani hivi nani aliekwambia ukijipaka make up hutoki jasho ni ulimbukeni mwanaume kujipodoa sasa unajipodoa huo si………………@gracesarakikya19
zayaminnah Heey sorry km kuna nliowakera mpk kiasi cha kuitwa mswahili… @kaybeyb@freshfetty c kwa ubaya wala cmchukii.ni ndugu yngu namjua kuliko nyie mnaemuona kwny pix,tv na kumckia kwny radio.i luv him n he knwz tht.i always dnt comment on his post kabisa but this i just felt lyk i hav to advise.its not must tht he followz it.ila Ommy i luv u thts why am telling u this…this post isnt gud pliz for mum’s sick just delete it.its nt easy 4 her to see it coz ig c rahis may b mtu amwambie.but she wont be happy wth..me either..listen to your funs but wanakupoteza..ur still a Muslim boy/still An African boy… anwys i wont deny u coz ur still my family n still got mad luv to
zayaminnah Ok sawa… @dollyzeynat thnks 4 ur advise.jion njema. Though uislam haujamkataza mwanamke kujiremba na haujahalalisha mwanaume kujipodoa. Anyways he can wht he think iz ryt for em as Artst yah..but he shuldnt share some pix…nyingn akae nazo kwny gallery ….NB: Ur an Artist yes but dnt allow tht to mek u forget tht ur a muslim boy & raised in such a respected family.dnt let ur superstar life drives u 2 whtever ur fans says ur ryt…dnt allow evrthng of urs to be known by the whole world.kip some for urself.truly pissed..sorry evrybody especially my inlaw @iam_jojo12 culdnt stop my self sayin it however i tried…

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini