MREMBO AMWAGIWA TINDIKALI BAADA YA KUKATAA KUTOA PENZI

tindi
Mambo Admin Jina langu naitwa Mwatuli kuna mkaka Alinitaka kimapenz nikamkatalia akaniambia atanikomesha na hii sura ninayoringia siku moja nimetoka kwa mama mdogo nikakutana nae pale njiani akiwa na vijana wa3 walinishika na kunimwagia kimiminika cha baridi dk kama 3 hivi nilianza kusikia maumivu makali siwezi hata kusimulia….aah nliumwa sana nkapiga kelele wakaja wasamaria wema kunisaidia nlipelekwa hosipitalini naambiwa nilizimia kwa masaa 36 nimezinduka
nimeongea na dactari ananiambia kwa ile aina ya tindikali niliyomwagiwa naweza kupata kansa ya
damu!! Hivyo nahitajika kwenda nje ya nchi kwa ajili ya matibabu zaidi
ni nani atanisaidia masikini mimi naishi kwa mama mdogo na wazazi wangu walishatangulia? Ndugu yangu binadamu mwenzangu nimekuja kwako sihitaji pesa zako bali tu maombi juu yangu
”naamini kwa MUÑGU hakuna linaloshindikana namwOmba MUNGU kwa uweza wake afungue
milango yote itakayosaidia nipate afya bora na faraja yangu upya kama nlivokua zamani katika yeye kila kitu kinawezekana’

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini