Watu
wamekuwa waongo sana , Utasikia ooohh mi ntakuoa ukinipa, siku akishapa
tu anachokitaka anakula kona, Marafiki zangu wote zao zimeshatolewa
ukiwauliza walio watoa hata hawajulikani walipo..Wamewatenda na kusepa
...Mie bora tu niuze yangu Bei poa kabisaa laki tano za kibongo..hayo ni
maneno ya Msichana mmoja kutoka Kenya Alivyoandika kwenye Facebook page
yake!!
Je Wewe Unaonaje Yupo Sawa kwa Hilo?
Je Wewe Unaonaje Yupo Sawa kwa Hilo?
CREDIT-SWAHILITZ
0 comments:
Post a Comment