Jamani
Wapendwa Valentines imenikalia Pabaya leo yaani, My girl kaja kulala
kwangu ili leo tusherekee wote hii siku kuna mahali tunaenda out of
Town, ila sasa asubuhi ya leo wakati tunajiandaa nikachukua simu yake
nikawa nampiga picha alivyopendeza baada ya kuvaaa sasa katika
kuziangalia zile picha nikakutana na picha zingine za utupu alizopiga
like one week ago, Sasa najiuliza hizo picha alipiga kwa ajili ya nani
je alimtumia mtu maana kama ni mimi hakunitumia, nimemuuliza anasema
alijipiga kujifurahisha, yaani hapa niko nae ila kama simwamini tena
jamani naombeni ushauri.
0 comments:
Post a Comment