MAZISHI YA MWANAMKE ALIYEFARIKI KWENYE AJALI MBAYA MANZESE

Umati wa watu waliofika msibani hapo wakiubeba mwili kuupeleka garini.
Jeneza likiwa limeletwa tayari kusomewa dua.
Marehemu akiswaliwa tayari kwa safari yake ya mwisho.
 
Mwili ukiwa umewekwa garini tayari kwa kusafirishwa kupelekwa Ruvu kwa ajili ya mazishi.
Ajali mbaya na ya kusikitisha ilitokea Manzese jijini Dar es Salaam siku ya januari 2 saa sita mchana. Katika ajali hiyo, kijana ambaye alikuwa ni deiwaka alifariki dunia papo hapo pamoja na mwanamke aliyejulikana kwa jina la Mwanaharusi Shabani.Mazishi ya Mwanaharusi yatafanyika leo huko Ruvu.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini