DKT SHEIN AFUNGUA KITUO CHA AFYA BUMBWINI KIONGWE

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kufungua Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia  kukifungua Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo  la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,(kulia) Waziri wa Afya Juma Duni Haji. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Daktari dhamana Abdulwahab  Mohamed,baada ya kukifungua Kituo cha Afya  Bumbwini Kiongwe,Jimbo la  Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuuliza suala Daktari wa huduma za Mama na  Mtoto,Halima Abdalla Saidi,wakati alipotembelea sehemu mbali mbali zinazotoa huduma katika kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo la  Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja,baada ya  kukifungua jana,katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
 Wasoma Utenzi kutoka Kiwengwa kaskazini B,Ashura Abdalla na Pili Pandu,wakitoa burudani yao wakati wa ufunguzi wa Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe jana, na mgeni  Rais wa  Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
  Wananchi wa Kijiji cha Bumwini Kiongwe,wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza baada ya kukifungua Kituo cha Afya kijijini hapo jana,  katika katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,
 Wafanyakazi wa Wizara ya Afya katika vituo mbali mbali waliofika kujumuika na wafanyakazi wa kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini
Unguja,wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza baada ya kukifungua Kituo hicho jana,  katika katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,
 Katibu wa Halmashauri Jimbo la Bumbwini Hassan Ali Kombo,akisoma risala wakati wa sherehe za ufunguzi wa Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe jana, na mgeni  Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,
Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi wa Bumbwini Kiongwe jana,alipofungua kituo cha Afya kijiji hapo,katika katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,(kushoto) Katibu Mkuu Wizara ya Afya  Dk.Saleh Mohamed Jidawi,na Waziri wa Afya Juma Duni Haji,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini