Waimbaji wa bendi hiyo Kalala Jr (kushoto) na Pentagon wakiimba kwa pomoja.
Kalala Jr akirap katika makalio ya mmoja wa wanenguaji wa bendi hiyo.
Wanamuziki wa bendi hiyo wakionyesha umahili wao wa kucheza.
Mnenguaji akionyesha umahili wa kunengua hakiwa amepiga msamba.
Shabiki ambae ni mlemavu akinenguliwa.
Shabiki akionyesha kuwa nayeye si mchezo katika kunengua.
Kalala akishangazwa na umahili wa kunengua wa shabiki wa bendi hiyo.
Ukumbi wa Taifa wa burudani wa Vodacom Dar Live
usiku wa kuamkia leo ulitikisika kutokana na kufulika mashabiki ambao
walijitokeza kwa wingi kushuudia onyesho la bendi ya African Star
“Twanga Pepeta”.
Katika onyesho hilo bendi bendi hiyo iliporomosha shoo ya nguvu huku
wanenguaji wake wakionyesha uwezo wa hali ya juu kutokana na unenguaji
wao wa madoido.
0 comments:
Post a Comment