SKYLIGHT BAND YAFANYA KWELI NDANI YA ESCAPE ONE SIKUKUU YA XMAS

DSC_1317
Vijana wa Skylight Band wakionyesha manjonjo yao kwa mashabiki wa Band hiyo wakati wa sherehe za XMAS ndani ya fukwe za kiota cha Escape One walipotoa burudani ya kukata na shoka kwa mashabiki wao.

DSC_1332
Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani huku akipewa back up na Joniko Flower, Winnie pamoja na Digna Mbepera.
DSC_1352
Mary Lukos akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band katika kusheherekea sikukuu ya XMAS ndani ya kiota cha Escape One.
DSC_1361
Mashabiki wa Skylight Band mdogo mdogo wakijisogeza kwa dancing floor.
DSC_1378
Joniko Flower akiwasogeza mashabiki kwa dancing floor kuwarusha na gwaride la aina yake.
DSC_1382
Mguu wa kushoto mbele wa kulia nyuma....Ya chuma chuma nataka mukanda Ya chuma chuma.....!!! Hapo ni gwaride mwanzo mwisho...
DSC_1547
Mheshimiwa Bernard Bundala na mdau Emmanuel Francis wakionyesha umahiri wao katika kusakata sebene la Skylight Band kwenye sherehe za XMAS.
DSC_1562
Hapo sasa twende kazi...!!
DSC_1578
Mdau Emmanuel Francis akifanya yake, njoo leo Thai Village akifundishe style hii mpya ya Skylight Band.
DSC_1402
Mashabiki wa Skylight Band wakisebeneka na burudani ya kukata na shoka.
DSC_1406
Rapa wa Skylight Band Sony Masamba akimpagawisha shabiki wake.
DSC_1410
Palinogaje wewe uliyekosa tunakupa pole tukutane leo pale Thai Village ufurahie Holiday yako na Skylight Band.
DSC_1412
Mpiga Solo wa Skylight Band Allen Kisso a.k.a Mundende akimchizisha shabiki na upigaji wake Gitaa.
DSC_1414
Mrs. Kisso akisebeneka na wifi yake Digna Mbepera.
DSC_1421
Kwa raha zao kwenye upepo mwanana wa Baharini ndani ya fukwe za kiota cha Escape One, Mikocheni jijini Dar.
DSC_1426
DSC_1431
DSC_1385
Daudi Tumba akifanya yake jukwaani, ni kiungo muhimu sana kwenye Live Band.
DSC_1464
Lubea wa Skylight Band akishow love na Super Model Neema Mbuya na mdau kwenye kiota cga Escape One.
DSC_1356
Mdau Alois Ngonyani akishow love na mashemeji zake.
DSC_1593
Mdau Fredy Tony akishow love......!!!
DSC_1308
Wadau wa Skylight Band kutoka Kijitonyama nao walijumuika na Band hiyo kusheherekea XMAS ndani ya fukwe za kiota cha Escape One jijini Dar.
DSC_1399
Fans wa Skylight Band.
DSC_1605
Mdau William Malecela a.k.a LEMUTUZ akishow love na Mbabes mkareeeee ndani ya kiota cha Escape One.
DSC_1461
Mdau nambari moja wa Skylight Band Alois Ngonyani akishow love na Sam Mapenzi wakisherekea sikukuu ya XMAS Escape One jijini Dar.
DSC_1514
Wadau Batani na Skylight Band ndani ya kiota cha Escape One kilichopo Mikocheni jijini Dar.
DSC_1613
Aneth Kushaba AK47 akishow love na shabiki wake.
DSC_1443
DSC_1452
Watu wa ukweli kwenye muziki wa wastaarabu.....!!
DSC_1454
Wenye mbeleko haya wenye vibwaya mulele twende kazi.....!!!
DSC_1478
Mduara ulihusika pia....!!
DSC_1505
Shazi la kumwaga usiipimie Skylight Band....!!! tukutane leo jioni Thai Village Masaki tufurahi pamoja.
DSC_1489
DSC_1586
DSC_1625
Winnie wa Skylight Band akipata Ukodak na wifi yake Mrs Kisso.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini