Timu ya Tottenham imethibitishwa kuwa Andre Villas-Boas amefukuzwa
kibarua chake baada ya mechi ya jumapili ya 5-0 dhidi ya Liverpool
huko White Hart Lane.
Kufungwa huko kumeifanya Spurs Spurs kuwa katika nafasi ya saba katika Ligi Kuu England (Premier League table), point nana nyuma ya vinara Arsenal na hili limekuja chini ya mwezi mmoja baada ya kudunguliwa pia 6-0 na Manchester City.
Goal waliripoti kuwepo kwa mahusiano mabaya kati ya Villas-Boas and Daniel Levy ambaye ni bossi alimwekea Dhamana kocha huyo kuendelea kubaki siku za karibuni White Hart Lane kwani alishatakiwa kutimuliwa. Mechi ya jumapili imewafanya wachukue maamuzi hayo haraka.
"Menejimenti ya timu imetangaza kuwa makubaliano yamefikiwa kati ya kocha mkuu , Andre Villas-Boas,kukatisha kibarua chake," na kwamba "Maamuzi yalikuwa muhimu na yamezingatia matakwa ya kila upande."
Katika kura zilizopigwa zilizoendeshwa na kampuni ya kuripoti matukio ya mpira wa miguu Goal baada ya mechi ya jumapili 54.8% ya wasomaji walisema Villas-Boas atimuliwe kibarua..