Wiki iliyopita, wanamuziki wa Kigoma Allstars akiwemo Diamond Platnumz na wengine walikuwa mjini Mombasa, Kenya kwenye show ya sehemu ya ziara yao katika nchini za Afrika Mashariki.
Pamoja na kupiga
show kali, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Kenya, Recho aliwatia
aibu kubwa wasanii wenzie wakati wakiongea na waandishi wa habari baada
ya show.
"Mwanamuziki wa Tanzania aliwashangaza waandishi wa habari pale alipoongea mbele ya camera kuwa alihitaji kuridhishwa kimapenzi,"mtandao wa Standard Digital News, SDE umeandika.
"Recho, aliyekuwa akiongea na waandishi wa habari baada ya show mjini Mombasa, alisema alihitaji mwanaume wa kulala naye usiku huo. Akifedheheshwa kwamba hitaji lake halikufaniwa, muimbaji huyo maarufu kwa wimbo wake Upepo, aliwaponda waandishi na watu wengine waliokuwepo pale kuwa hawakuweza kum’handle’ mwanamke,"uliandika.
Mtandao huo uliongeza: Recho hakuwa msanii pekee aliyefedheheshwa usiku huo kwani mwenzake Maunda alionekana backstage akilia baada ya kuzomewa atoke jukwaani na umati.
Habari hiyo kwenye mtandao huo imeandikwa:
Recho begs for sexual satisfaction
Read more at: http://www.standardmedia.co.ke/entertainment/thenairobian/article/3325/tanzanian-superstar-begs-for-sexual-satisfaction

Tanzanian musician shocked journalists when she screamed to the cameras that she needed to be ‘sexually satisfied’. Recho, who was talking to reporters after the Kigoma All-stars concert in Mombasa, said that she wanted a man to ‘end the night with.’
Disappointed that her wish did not come true, the musician, famous for her song Upepo, told reporters and anyone who cared to listen that they ‘couldn’t handle a woman’.
Recho was not the only disappointed musician that night as her Tanzanian counterpart Maunda was spotted backstage crying after being booed offstage by the crowd.