Wapendwa naomba msaada maana naona
napotea , yaani boy wangu alisafiri kikazi karibia mwaka mzima sasa huku
mimi sababu ya upweke nikaanza kuchepuka na Boss wangu , kila week end
ananipeleka nje ya Mji kama Bagamoyo ama Kigamboni tunalala huko na
kufanya starehe za kila aina , Baada nikawa natoka na Wengine pia wenye
pesa , sasa cha ajabu nikitoka na mtu ambae hana pesa za kunipeleka
mbali ya mjini na kunipa starehe mbali mbali si enjoy hata tukifanya
sifiki kileleni , Sasa kibaya boywangu amerudi nashangaa simfeel hata
kidogo kama zamani kwani yeye si mtu wa sterehe....yaani sometimes ili
nienjoy inabidi nichepuke kwa wale mapedeshee wenye kujua starehe ni
nini ....Nifanyaje?
0 comments:
Post a Comment