‘TUNAWEZA’ YACHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSOMESHA WATOTO MASKINI WALIOFAULU


 
   Staa wa filamu nchini, Jacquline Wolper, akiingia katika ukumbi huo.
     Wolper akiwa na Zeynat Mohamed aliyeandaa sherehe hiyo.
  Baadhi ya watoto waliofaulu lakini hawakuwa na uwezo wa kifedha kuendelea na masomo.
  Baadhi ya wanawake waliokuwepo kwenye hafla hiyo.
   Wolper katika pozi la tofauti.
Flotea Masawe akisikiliza jambo kwa makini.
    Mwimbaji wa kundi la Jahazi, Leilah Rashidi, akitoa burudani.

7.    Mwamitindo maarufu,  Asia Idarous, akizungumza jambo.
.     Baadhi ya waimbaji wa bendi ya Jahazi.
9.     Mwanamama majasiriamali,  Flotea Masawe, akielezea alivyotajirika.
10.    Wanawake wakisikiliza shuhuda za wanawake waliojikwamua katika umasikini.
11.     Flotea Masawe akisikiliza jambo kwa makini.
12.    Muandaaji wa sherehe hiyo, Zeynat Mohamed.

KAMPUNI ya Wanawake Tunaweza juzi ilichangisha fedha kwa ajili ya kusomesha watoto mbao wamefaulu kuendelea na masomo lakini hawana fedha.  Hafla hiyo ilifanyika  katika kilele cha siku ya Wanawake Duniani katika Hotel ya Hyaat Kilimanjaro  jijini Dar es Salaam.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini