MAMAA Majanga, Snura Mushi amefunguka kuwa kinachowaponza wanawake wengi wanaoiba wanaume za watu ni kupenda kujitangaza.
Akizungumza kupitia Global Online TV (itaruka leo mtandaoni), Snura alisema kwa kulitambua hilo ndiyo maana aliwatonya kuwa ukiiba mume wa mtu fanya siri katika wimbo wa Nimevurugwa.
“We ni mwizi halafu unatangaza kila sehemu unatafuta nini kama siyo matatizo na mwenye mali…,” alisema Snura.

Mamaa Majanga, Snura Mushi.
Ili kutazama mahojiano kamili na jinsi Snura alivyofunguka mambo mengi, ingia katika website ya www.globalpublishers.info ili upate uhondo kamili.
0 comments:
Post a Comment