REHEMA FABIAN APATA UGONJWA ULIOMUUA BABA YAKE

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzWop-MDx2Ay6Y7s8f9T6yJlNZGBnMwLleKIhK76ijTuQd4TEba0ng577FjBNONdxBR4sPlf8A2_g7AAmq-gz5-FRhKDbCnanD9mukomENd7ubh3c_AfdPc5s4DrZeKgNwn38Ck09j9jQ/s1600/20.jpg

NOOO! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009 Bongo, Rehema Fabian anasumbuliwa na tatizo la maini na mapafu kuharibika, ugonjwa uliomuua baba’ke.
Rehema Fabian.
Akistorisha na mwanahabari wetu, Rehema alifunguka kuwa aliingia nchini tangu Desemba, mwaka jana, akiwa hoi kiasi cha kufikia kudondoka kwenye uwanja wa ndege jijini Dar akitokea China alipokuwa akiishi kwa zaidi ya mwaka.

“Nililazwa kwa zaidi ya wiki mbili katika Hospitali ya Kinondoni (Dar) kwa Dokta Mvungi. Niligundulika nilikuwa na tatizo kwenye maini na mapafu ugonjwa uliomuua baba, nashukuru Mungu nimepewa dawa, naendelea vizuri,” alisema Rehema.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini