Esterlina Sanga ‘Linah’.
AISEEE! Ndege mnana kutoka Jumba la Vipaji Tanzania
(THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amefunguka kuwa katika mwili wake hakuna
kitu anachokipenda kama miguu yake hususan katika sehemu ya upaja.
Akizungumza na Global TV Online,
Linah alisema kwa kuwa anapenda sehemu hiyo katika mwili wake, ndiyo
maana mara nyingi hupendelea kuvaa nguo zinazoonyesha vizuri miguu yake
na jinsi ilivyo mizuri.
“Ukweli huwa nachizika na upaja wangu. Napenda sana miguu yangu, ni mizuri ndiyo maana nagonga vimini au mpasuo ili mguu wangu uonekane vizuri,” alisema Linah.
“Ukweli huwa nachizika na upaja wangu. Napenda sana miguu yangu, ni mizuri ndiyo maana nagonga vimini au mpasuo ili mguu wangu uonekane vizuri,” alisema Linah.
0 comments:
Post a Comment