Hapa inadaiwa ni Guest kwa mujibu wa maelezo yake kwenye mtandao.
Hapa Natasha akiwa na nguo za kawaida.
Kwa
mujibu wa chanzo chetu ambacho ni msichana ambae yuko karibu na Natasha
anaeishi maeneo ya KAWE jijini Dar alisema kuwa picha hizo zimesambaa
mitandao na mtu aliyezisambaza ni yeye mwenyewe ambapo ziko nyingine
mbaya zaidi ambazo msichana huyo anaonekana kujipapasa sehemu zake nyeti
kwa lengo la kuwatia mshawasha wanaume dhaifu.

0 comments:
Post a Comment