MASOGANGE: MATAKO YANGU NDIYO KILA KITU

Video Queen ‘grade one’ Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’
VIDEO QUEEN ‘grade one’ Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa hakuna kitu anakizimikia kwenye mwili wake kama makalio.
Masogange aliiambia Bongowood kuwa:“Hakuna sehemu ninayoipenda kama makalio, yamekaa vizuri, nayapenda, najidai kupitia sehemu hiyo niliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu.”
Makalio ya Agnes Jerald ‘Masogange’.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini