Mkongwe Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’,
MKONGWE Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’, ametoa mtazamo wake
kwa kusema Bongo hakuna mapenzi ya dhati, wengi wanaangalia maslahi. Akizungumza na Bongowood, Johari ambaye alidaiwa kumwagana na Vincent Kigosi ‘Ray’, alitiririka:
“Bongo ni wizi mtupu, labda Ulaya. Kila siku sisi tunadanganyana tu,” alisema Johari.
0 comments:
Post a Comment