MADHARA AYAPATAYO MWANAUME ANAYEPENDA KUMUINGILIA MWANAMKE KINYUME NA MAUMBILE (KULA TIGO)

Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo wa kufanya Mapenzi kinyume na maumbile ni kama ifuatavyo:-  
Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo. 
Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa. 

Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland). 
Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo. 
Tano: Kuharisha. 
Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi). 
Saba: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini