

“Huyu (Johari) ni mmoja wa wanawake ambao hatanisahau katika maisha yake, siri ninayo mimi, sijui ninyi mtafikiria nini?” aliandika Ostaz ndipo wachangiaji wakaanza kutiririka:

Chuchu.
“Johari safi sana, kama mbwaimbwai tu, tupia tu picha zozote maana
hakuna anayekufunga kama ni huyo Ray, mapenzi yalishakwisha zamani…”
mmoja wa mashabiki wake alichangia mtandaoni huku akiungwa mkono na
wengine.Paparazi wetu alipounasa mchongo huo, alimvutia waya Johari kumuuliza kama kweli alifanya hivyo kwa nia ya kumrusha roho Ray na Chuchu lakini simu yake iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa.

0 comments:
Post a Comment