JE, UNAPENDA MWANAMKE WA AINA GANI KATI YA HAWA?, HII HABARI INAWAHUSU WANAUME TU!


Hebu niambieni bandugu mnapendelea mwanamke wa aina gani kati ya hawa unapotongoza?


1) Yule ambaye anakukatalia na kujibu kashfa na matusi huku akifoka unapomtongoza? 

2) Msumbufu na umempata baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu bila kukata tamaa? 

3) Kigeugeu mara ndio au nimebadili mawazo au mpaka uje kwa wazazi? 

4) Anakubali lakini No sex mpaka tuoane? 

5) Maharage ya Mbeya Ukigusa tu yupo tayari kwa lolote iwe kufanywa kimada wa pembeni, kuchezewa au kuolewa.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini