
Jackilin Wolper .
Staa wa sinema za Kibongo, Jackilin Wolper amechomoa madai
yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake.Baada ya taarifa hizo za
chinichini kuzagaa, Wolper aliibuka na kuzikanusha:“Wazazi wangu ni matajiri kwa pesa gani nyingi nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo, bado nawategemea hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.”
0 comments:
Post a Comment