Staa wa wimbo wa Mafungu ya Nyanya, Mwanaisha Said ‘Dyana’ amewataka wasanii wa kike chipukizi kuacha kuogopa kutongozwa kwani uamuzi unabaki kuwa kwao.
“Namshukuru Mungu mpaka hapa nilipofikia. Vikwanzo ni vingi
hususan kwa waimbaji wa kike lakini nawashangaa wale ambao wanakata
tamaa ya kuendelea kuimba kisa kutongozwa. Wasiogope,” alisema Dayna
ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa Mimi na Wewe
0 comments:
Post a Comment