STAA wa filamu Bongo, Baby Madaha amesema tangu aanzishe
uhusiano wa kimapenzi na meneja wake, Joe Kariuki hajawahi kukutana naye
kimwili.
Staa wa filamu Bongo, Baby Madaha
Baby alisema wamejiwekea malengo kwani tendo hilo lina muda wake,
haina haja ya kukurupuka.“Umri umeenda lazima niwe mtu mwenye msimamo si
kila mwanaume nitayekuwa naye nitamvulia nguo, nitafanya hivyo muda
ukifika,” alisema Baby Madaha.
0 comments:
Post a Comment