DIVA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameonekana kuchizika na busu la mbwa baada ya kunaswa akiwa amewabeba mbwa wawili na kufurahia mmoja wapo alipombusu.
Diva wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel.
Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Wema Sepetu, Kijitonyama,
jijini Dar. Alipoulizwa furaha aliyokuwa nayo baada ya kubusiwa na mbwa
huyo, Aunt alisema: “Haipimiki. Natamani na mimi kuwafuga.”
0 comments:
Post a Comment