WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHE. LAZARO NYALANDU AMTIMUA MKURUGENZI WA IDARA YA WANYAMA PORI


Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amemtimua Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Profesa Songorwa; kwa utendaji kazi mbovu na kushindwa kudhibiti vitendo vya ujangili. Amekaa kwenye nafasi hiyo kwa muda usiozidi mwaka mmoja akiwa amechukua nafasi ya Obeid Mbangwa. Hii Wizara ni mwiba wenye sumu!

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini