
Chadema kupitia kigaila walitoa siku tatu kwa rais afute kauli yake kuwa
uvumilivu kwa wanaccm sasa basi. Leo ni zaidi ya wiki moja, aona kimya.
Vipi, wamesahau? Hawana la kumfanya? Wamesalimu amri? Wamemuogopa?
Tunaomba mrejesho wa kinachoendelea
0 comments:
Post a Comment