"Bwana Lowassa, Nikupe pole nyingine baada ya ile ya juzi kati kukueleza vichomi
ulivyotegeshewa na ambavyo vimeanza kukuchinjia baharini tena kuleeeee
Nungwiiiii, Naam umepigwa kufuli kutojishughulisha na siasa za uongozi
mpaka mwezi wa pili mwakani,
Sasa ulijiandaa kuteka siasa kwamgongo wa katiba mpya, ikawa usiku ikawa mchana, naaam leo Chenge kakulamba chenga ya kisigino, ndio kakutelekeza, tena alfajiri tu.
Chenge kaiona pepo japo ni ya masika tu na kaniki haifuliwi kwa maji ya mvua.
Chenge hatunae tena kwenye anga la ukuu wa katiba mpya, sasa ni yuleyule aliyekupeleka kibla mnamo 2007, si mwingine ni Samwel Sitta mbabe wako kutoka CCJ.
Wayajua mapigo mawili yaliyo mbele yako??
Haya tutaftane..."
By Yericko Nyerere From JF

0 comments:
Post a Comment