Mcheza
filamu za kitanzania Riyama Ally amesema hakuna ukweli wowote kuwa
wataarishaji wote wa filamu nchini wanatabia za kutongoza wasanii wa
kike ili wawape nafasi kwenye filmu zao.
Akiongea
na blog hii amesema mapenzi siku hizi imekua kawaida na mdada unaweza
kutongozwa popote sio kwenye sanaa tu na kuongeza kuwa kutongozwa ni
faraja kwa mwanamke kwani wameubwa kuchaguliwa na sio kuchagua ila
unaetongozwa unatakiwa kusema hapana kwa watu wasio lazima katika maisha
yako
“kutongozwa
kwa mwanamke ndio faraja kwani tuliumbwa kuchaguliwa na sikuchagua ila
wewe unaetongozwa unatakiwa kusema hapana kwa watu wasio lazima katika
maishayako“
Amesema wasanii wa kike wanatakiwa kuvaa nguo zenye maadili zitakazo wafanya wapewe heshima ata na waandaaji wa filamu