NISHA: SITAKI KABISA KUOLEWA KWA SASA


Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’.
Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ ameweka wazi kwamba bado yupoyupo sana linapokuja suala la kuolewa.
Akizungumza na mwanahabari wetu, mwigizaji huyo alisema kuwa anatambua kuwa yeye kama mwanamke aliyetimia lazima atakuja.
kuolewa siku moja, lakini siyo hivi karibuni.
“Natambua mwanamke aliyetimia lazima aolewe, lakini kwangu bado niponipo sana jamani. Muda ukifika ndiyo itajulikana, lakini siyo leo wala kesho,” alisema Nisha.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini