Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Mwanamitindo maarufu Bongo, Martin Kadinda amempongeza Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kumuita nyau.
Martin alifanya ishu hiyo wakati akimtakia Lulu Happy Birthday Aprili
16 ambapo mwanadada huyo alikuwa akitimiza umri wa miaka 19. Mwandishi
wetu alipomhoji kuhusiana na kumuita nyau, Martin alifunguka:
“Yule kwangu ni mdogo, nimemlea tangu akiwa anasoma sekondari pale
Perfect Vision Ubungo, nimetumia neno nyau kama utani lakini
nikimaanisha mdogo kwangu.”
0 comments:
Post a Comment