JOKATE NDIO MWANZILISHI WA FASHION ZA MAKAHABA


Gal on hit baby jokate kidoti, amewasuprise watu kwa kuvaa nguo yenye muonekano wa jeans, ambayo
stylish yake ni kama imechanwa katika maeneo yake ya mapaja, but hiyo ni fashion ambayo ndo inatamba africa coz staaz wengi washaonekana wakivaa kama hivyo akiwemo

Wolper under new fashion ya kupasuliwa na mchaniko wa jeans. Madada wote wa mjini kuweni makini na style hii, kwani msije mkaonekana na nyie ni makahaba kwa kuvaa style hiyo ya Jokate

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini