JAMANI MUME WA MTU AMENIGANDA


Habar ndugu zangu, Nashindwa kuelewa mpk sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano cjawahi kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye yupo single, amekuwa akinisaidia sana katka maendelea yangu mume wa mtu huyu ndie mshaur wangu hata iweje yupo mbele yangu kunijali ananipenda sana mara nyingne nawaza siwez kufika naye mbali tayar yy ameshakuwa na familia yake na Mimi nilazima nitakuwa na familia Yang tutaishi maisha haya mpk lini na tangu tujuane huu ni mwaka wa 6 najitahidi kumuacha lakini jamaa na yeye anapigana kutokuniacha mke wake mpk leo hajui kama mume wake ana mchepuko nje, nishaurini nahitaji na Mimi kuwa na maisha yangu nimpata mume wangu nitamtumikia huyu jamaa mpk lini? Nipeni hata njia mbadala matata ili niachane naye

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini