Wasanii wa muziki Shilole na Nuhu
Mziwanda wameamua kuweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi na kudai kuwa
wapo tayari kufunga Ndoa.
Huu ndio ujumbe wa Nuhu Mziwanda.
'Tunajipanga mambo fulani yakae sawa mimi na mke wangu kila kitu kitakaa sawa,kweli tunakama miezi miwili,mitatu tunamshukuru Mungu tunapendana kiukweli kila mtu yuko real kwa mwenzake'Alisema Nuhu Mziwanda
Naye Shilole alidai kuwa ni kweli wanapenda na Nuhu
Kwa upande wa Shilole huu ndio ujumbe wake
'Sijamkana Nuhu,kwanini nimkane kwa sababu gani? Yeye ananipenda na mimi nampenda'Alisema Shilole huku akisema yupo tayari kufunga nanye Ndoa.

0 comments:
Post a Comment