MKONGWE Bongo Movies, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa kuna mwanamke ambaye anaichokonoa ndoa yake kwa nia ya kuivunja.
“Anatumia kila njia kuisambaratisha ndoa yangu, anajisumbua, najua ni mwanamke sababu nimeshafanya uchunguzi wangu kwa kuipiga hiyo namba, ole wake nimdake, atanitambua,” alisema Cathy.
Sabrina Rupia ‘Cathy’.
Akizungumza na mwandishi wetu, Cathy alisema amechunguza na kugundua
kuna mwanamke ambaye anatuma meseji kwa mumewe na kwake kwa lengo la
kuwagombanisha.“Anatumia kila njia kuisambaratisha ndoa yangu, anajisumbua, najua ni mwanamke sababu nimeshafanya uchunguzi wangu kwa kuipiga hiyo namba, ole wake nimdake, atanitambua,” alisema Cathy.
0 comments:
Post a Comment