MAINDA: BORA NIZAE

Staa wa ‘longtime’ katika tasnia ya filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’
MUIGIZAJI wa ‘longtime’ katika tasnia ya filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kuwa bora azae kwani kutozaa kwake kunamfanya aumwe mara kwa mara.
Akizungumza na papazi wetu, Mainda alisema amegundua kuwa ili apone ugonjwa wa chango unaomsumbua mara kwa mara ameshauriwa na madaktari azae ndiyo itakuwa suluhu.
“Ugonjwa huu wa chango unanitesa sana, nimevumilia sasa nimechoka, nahitaji kupumzika na ili nipumzike inanibidi nizae tu kwani haya mateso nimeshayachoka,” alisema Mainda.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini