MREMBO ACHANGANYIKIWA BAADA YA KUKUTA PICHA ZA UCHI ZA RAFIKI YAKE KWENYE SIMU YA MCHUMBA WAKE



Ni siku ambayo sito isahau. Siku amini macho yangu siku nilipokuta picha za nusu uchi za rafiki yangu kipenzi Nancy kwenye simu ya mpenzi wangu Dany. Picha zilitumwa watsapp na yeye mwenyewe Nancy kwenye simu ya mchumba angu.

Nilipo muuliza alinijibu kwa ujasiri tu kwamba wamekuwa wakidate kwa muda sasa, na huku akiongezea kwamba Dany is so sweet yani huyo mchumba angu. Daaah Nifanyaje jamani. Naombeni USHAURI..!!

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini