Jeshi
la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kufanya msako katika maeneo
mbalimbali na kufanikiwa kuwakamata wanawake wapatao 15 wanaojihusisha
na biashara haramu ya kuuza miili yao kutoka mikoa mbalimbali nchini.
Msako huo ulifanyika tarehe 05/02/2014 majira ya 21:00hrs katika mitaa
ya uhindini na Air Port.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi DAVID MISIME - SACP amewataja watu hao kuwa ni:
1. VERONICA D/O JOEL mwenye miaka 23, Mnyakyusa mkazi wa Sai Mbeya.
2. ROSE D/O MICHAEL mwenye miaka 30, Mgogo, Mkazi wa Kikuyu Dodoma.
3. MARIAM D/O JORDAN mwenye miaka 26, Mhehe mkazi wa Tukuyu Mbeya.
4. REHEMA D/O RAMANDANI mwenye miaka 38, Mlugulu makazi wa Airport Morogoro.
5. JOYCE D/O MARTINE mwenye miaka 22, Mnyamwezi mkazi wa Chinangali West Dodoma.
6. FATIA D/O SARATIELI mwenye miaka 20, Mgogo mkazi wa Makanda Bahi Dodoma.
7. BOKE D/O CHACHA mwenye miaka 27, Mkurya mkazi wa Tarime Mara.
8. SWAUMU D/O BAKARI mwenye miaka 23, Mnyamwezi mkazi Chinangali Dodoma.
9. ROSS D/O MASAKI mwenye miaka 28, Mchaga mkazi wa Sanya juu Moshi.
10. SCOLASTIA D/O COSTANTINO mwenye miaka 22, Mnyakyusa mkazi wa Gongolamboto Dar es salaam.
11. HAPPY D/O JULIUS mwenye miaka 31, Mnyamwezi mkazi wa Urambo Tabora.
12. AISHA D/O HASSAN mwenye miaka 38, Mbulu mkazi wa Babati Manyara.
13. JULIANA D/O DOMINICK Mwenye miaka 31, Mnyakyusa, mkazi wa Airport Dodoma.
14. DATIVA D/O LUKWEMBE mwenye miaka 29, Mhaya mkazi wa Kiziba Bukoba Kagera.
15. DORIN D/O MASSAWE mwenye miaka 23, Mchaga mkazi wa Kiboshomaro Moshi.
Aidha
Kamanda MISIME amesema katika msako huo watu wawili wanaume walikamatwa
wakiwa na mirungi robo kilo katika mtaa wa barabara ya nane (8) Manispaa
ya Dodoma ambao ni NASSOR S/O ALLY mwenye miaka 45, Mwarabu mkazi wa
barabara ya kumi na AYUBU S/O TEPO mwenye miaka 40, Muarusha, Fundi
cherehani mkazi wa Chamwino.
Pia
huko katika Wilaya ya Kongwa kijiji cha Mlanje kata ya Matongoro Tarafa
ya Zoisa alikamatwa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la SHEDRACK S/O
MACHILE mwenye miaka 46, Mgogo, Mkulima akiwa na Lita 30 za pombe ya
moshi akiziuza.
Kamanda MISIME amesema msako unaendelea na amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi.
0 comments:
Post a Comment