SHILOLE ARINGIA MAPAJA YAKE KWA WANAUME



Zuwena Mohammed ‘Shilole’.
Msanii wa muziki ambaye katika siku za hivi karibuni ameonekana kuvuma, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ alijitapa kuwa na paja la haja huku akidai ni sehemu ya mwili inayomfanya awe na mvuto na kuwadatisha wanaume.
 
Katika tukio la hivi karibuni ndani ya Ofisi za Global Publishers, Mwenge Bamaga jijini Dar, alipofika kwa ajili ya mahojiano na Global Television Online inayorushwa kupitia mtandao wa www.globalpublishers.info, msanii huyo alitakiwa kupozi ili apigwe picha lakini cha ajabu alipandisha juu kigauni chake na kuonesha kipensi kifupi alichokuwa amevaa huku akidai ana paja la maana hivyo hana sababu ya kulificha.
“Mguu ninao, paja ninalo kwa nini nijifichefiche bwana?” Alisema Shilole na katika mahojiano alidokeza kuwa, mabuzi anayo na lazima ayachune kwani yeye ni mtoto wa kike.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini