Mimi
ni Kijana wa Miaka 27 , Nimemaliza chuo Mwaka Jana ...Now nafanya kazi
katika shirika moja kubwa hapa Dar es salaam , Wakati nilipokuwa chuo
mimi na wenzangu tulikuwa na mchezo wa kwenda pale Corner Bar Kuchukua
wasichana wanao Jiuza wa bei ndogo na kujiridhisha...Mchezo huu
umeendelea mpaka nimemaliza chuo na nina kazi yangu ..Huwa nasikia raha
sana kulala na hao watu...Nina Girlfriend wangu ila huwa nikilala nae
sisikii raha kama nikiwa na changudoa....Sasa jioni mara nyingi huwa
natoka na kwenda mitaa ya Sinza kutafuta wa kuwa nae kwani kupitisha
siku bila hiyo kitu siwezi...Nataka niiache hii Tabia Naomba Ushauri nifanyaje....Admin Plse Post hii Ili watu wanipe Ushauri....
0 comments:
Post a Comment