PICHA ZA UCHI ZA KIMADA WA MBUNGE ZASAMBAA MITANDAONI

SIKU chache baada ya gazeti la Risasi Jumamosi kutoka na habari iliyoambana na picha zilizopigwa katika chumba cha hoteli zikimwonesha mbunge wa jimbo moja nchini  akijivinjari na dada mmoja wa mjini, aibu zaidi imemwangukia binti huyo baada ya picha zake za utupu kuvuja.  
Mjasiriamali huyo wa mjini, katika habari hiyo jina lake lilifichwa lakini sasa tunalianika kwa jina moja la Sheila ambaye makazi yake ni Kinondoni jijini Dar.
Habari za moto zilizopatikana kutoka kwa vyanzo makini, vimepenyeza maelezo ya kutosha kuhusu ‘mjasiriamali’ huyo kuwa ni moto wa kuotea mbali kwa vigogo.
“Sheila ni mjanja sana, ana mawasiliano ya vigogo wengi ndiyo maana anawapata kirahisi lakini sasa sijui hii akili ya kijinga ya kupiga picha chafu anaipata wapi. Kwa mtu anayefikiri sawasawa hawezi kufanya upuuzi kama huu,” kilieleza chanzo chetu kwa sharti la kutoandikwa jina lake   
Folda lenye picha chafu za dada huyo zilizopigwa katika mikao ya kihasarahasara (haziwezi kuachwa wazi) zipo kwenye dawati letu kama ushahidi…..

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini